Hakikuwa kitendo cja kawaida kwa simba kumnyonyesha mtoto wa chui kwakuwa huwa wanagombana kila mala
lakini hatimae mtoto wa chui kakutwa akinyonya kwa simba kitu ambacho hakijawai kutokea kwa wanyama hawa wawili
mala nyingi simba akimkuta mtoto wa chui huwa ana muua kwakuwa ni mpinzani wake kwenye mawindo ya wanyama polini
kitendo hiki kilichotokea ngorongoro kimekuwa cha kihistoria katika maisha ya wanyama na kuhashilia hata wanyama humaliza tofauti zao
Tags
Kitaifa