Msajili mkuu wa vyama vya siasa pichani awapa onyo kali chadema na cuf baada ya kutishiana
msajili amesema kama vyama hivyo vitaendelea na vitendo vyake wanavyo vifanya atawapa adhabu kali kwa mujibu wa sheria
hatua hii imekuja baada ya kutokea kwa mgogoro katika chama cha CUF ambapo kuna baadhi wanamkubali na kuna baadhi wanamkataa lipumba wakimwita msaliti
kufuatia hatua hiyo mbunge wa ubungo Saidi kubenea alitangaza kampeni aliyoiita kampeni ondoa msaliti ikiwa na nia ya kumtoa lipumba madarakani hatua iliyopelekea wafuasi wa lipumba nao kujana kampeni futa chadema wakiwatuhumu kuingilia majukumu ya chama chao
msajili wa vyama vya siasa mazema mipango yao wanayo iendesha ni batili na kama wataendelea hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao
Tags
Kitaifa