SHULE YA WALIO BADILI JINSIA YAANDAMWA INDIA

Nchnin india kulizinfuliwa shule ya watu walio badili jinsia

nchini india walio badili jinsia walikumbwa na changamoto nyingi ikiwemo kutengwa lakini baadae walifunguliwa shule yao

baada ya kufunguliwa shule yao taatifa zina shule hiyo imekumbwa na changamoto huku ikipungukiwa wanafunzi baada ya baathi yao kushindwa kutembea kwenda shule

shule hiyo ilikuwa mahususi kwa walio badili jinsia baada ya kutengwa kwenye shule za kawaida nchini india

Post a Comment

Previous Post Next Post