
Polisi mkoani mwanza imewaua majambazi sita jana usiku
akiongea na wanahabari mkuu wa polisi mwanza alisema askari wake waliwauwa watu sita baada ya kuizingira nyumba waliyokuwa wakiishi
baada ya kuizingila walianza kurushiana risasi na hao watu kuanzia usiku mpaka halfajili
baada ya mapambano makari ndipo wakafanikiwa kuwauwa majambazi hao na kupata siraha za kivita walizokuwa wakizitumia
pia kamanda wa polisi alisema atatoa taarifa baadae kwakuwa wanaendelea kukusanya taarifa zaidi
lakini baada ya polisi kuondika wananchi wenye hasira waliiteketeza kwa moto nyumba ambayo watu hao walikutwa
Tags
Kitaifa