RAY C.ASEMA ANAMTAKA BWANA WA MIAKA 60



Mdada aliye sumbua.saana kwenye bongo fleva Ray C asema anatamani mume wa miaka 60

maneno hayo aliyaongea wakati akiojiwa na chanel five katika kipindi cha NIRVANA  ambapo alifunguka mambo mengi

alisema amesha kuwa na vijana wengi na wengine kumwalibia maisha yake sasa anazani ni muda wa yeye kuwa na mzee ili aturie nae

alisema naitaji mtu miaka.50 lakini hata huyi bado ni kijana nahisi wa miaka sitini atanifaa zaidi kuliko hawa vijana wana mambo mengi mno na ni wasumbufu hawajui kubembeleza mwanamke

Ray C saizi anasumbua na wimbo wake wa unanimaliza ambao unafanya vizuri kwenye radio na tv kwa sada na aneonesha kuwa bado anajua mziki


Post a Comment

Previous Post Next Post