AMUUA MKE WAKE KWA KUMCHOMA KISU KISA WIVU WA MAPENZI



Polisi mkoani morogoro inamshikilia bwana Bahati malima baada ya kumuua mke wake

Mtuhumiwa huyo bahati malima alimuua kwa kumchoma kisu kifuani mke wake Janet sajiro miaka 35 kwa kile kilicho sadikika kuwa ni wivu wa mapenzi

kwa mujibu wa maelezo Bahati alimtuhumu mke wake kuwa na mahusiano n a mwanaume mwingine ambapo hali iliyo leta ugomvi kati yao baada ya kusemezana kwa muda ndipo mtuhumiwa Bahati akachukuwa kisu na kumchoma mke wake

polisi bado ipo kwenye uchunguzi ili kubaini chanzo kamili cha kupelekea kwa mtuhumiwa kuamua kumchoma kisu mke wake


Post a Comment

Previous Post Next Post