
Bibi wa miaka.86 apandishwa kizimbani baada ya kuiba katika duka la vito nchini marekani
bibi huyo anae itwa Doris.payne alikamatwa baada ya kuiba katika duka moja kwenye mji wa Chemble nchini marekani
baada ya kupandishwa kizimbani akaachiwa kwa dhamana ambapo aliiba cheni yenye thamani ya dola 80
bibi huyo anafahamika kwa wizi na alisha wai fungwa miaka kadhaa kwa makosa ya wizi nchini marekani na pia alishawai fungwa kifungo cha ndani baada ya kufanya kosa lifananalo na hili
yeye mwenyewe alisema anaiba kwakuwa maisha magumu anaitaji dawa na chakura kila siku huku akiwa hana msaada
Tags
Entertaiment