
Raisi wa kenya Uhuru kenyata aionya mahakama kwakile alicho kiita kuisaidia upinzani kushinda
raisi wa kenya aionya mahakama akituhumu kuisadia upinzani kushinda uchaguzi kwa njia zisizo halali
majuzi mahakama iliamulu kusitisha zabuni ya uchapishaji wa karatasi za kupigia kura baada ya kupatikana kwa dosari
kufuatia hatua hiyo kenyata ameionya mahakama akisema inapanga ujeuri dhidi yake katika uchaguzi
baada ya kuionya pia mahakama ime mwonya na yeye kuwa asijaribu kuikaba mahakama kwakuwa mahakama inafanya kazi yake
Tags
Kimataifa