MTANGAZAJI MAARUFU WA E- FM AFARIKI DUNIA



mtangazaji maarufu wa radio ya E fm ya dar es salaam afariki dunia jana

mtangazaji huyo maarufu katika mtandao wa instagram akitumia jina la bikira_wa_kisukuma amefariki jana katika hospitali ya muhimbili

uongozi wa E fm umesibitisha kutokea kifo cha mfanyakazi wake ambae alikuwa anapendwa na wengi kutokaba na utangazaji wake katika redio hiyo


Post a Comment

Previous Post Next Post