
Polisi mkoani pwani imefanikiwa kuwaau majambazi wawili rufiji
polisi wakiwa dolia waliwatilia mashaka watu watano walio waona na kuanza kuwafuatilia baada ya kuwafuatilia watu hao wakaanza kukimbia huku wakirusha risasi kwa polisi ndipo polisi wakaanza kujibu ndipo wakafanikiwa kuwajerui watu wawili
baada ya kupata majereaha watu hao walipoteza maisha wakati wakipelekwa hospitali ambapo miongoni mwa walio fariki ni pamoja na Abdalah ngande ambae alikuwa antafutwa na jeshi la pollisi kwa muda sasa
miili ya watu hao ime ifaziwa katika hospitali ya muhimbili jijini dar es salaam
Tags
Kitaifa