AUWA MKE NA WADOGOZAKE KISHA KUPIKA MIILI YAO NA KUILA



Mwanaume mmoja nchini romania auwa mke na wadogo zake wawili kisha kupika miili yao na kuila

mwanaume huyo ambae alikuwa akiishi yeye mke wake na ndugu wawili wa mke wake alifanya mauaji hayo ambayo yaliwashangaza watu wengi

baada ya kutokea ugomvi baadae mke nawadogo zake wawili hawakuonekana nyumbani hali iliyo pelekea majirani kupatwa na wasi wasi

baada ya kujawa na hofu wakaamua kutoa taarifa polisi ambapo walikuja kufanya uchunguzi nyumbani kwake na kukuta ame waua wote wa tatu na nyamazao zikiwa kwenye freji na zingine amesha zila huku chanzo cha kufanya hivyo kikiwa hakijulikani


Post a Comment

Previous Post Next Post