MAMBA AINGIA MTAANI NA KUTAFUNA WATU TANGA



Wakazi wa mitaa ya Kange na Mkurumuzi jijini tanga hawana amani kufuatia mamba kusumbua watu katika maeneo yao

mamba huyo ambae ametoka katika bwawa moja lililo bomoka karibu na maeneo wanayo ishi watu

majuzi mama mmoja alinusulika kuliwa na mamba huyo ambae anakaa vichakani na kuvizia watu kila mara mchana na usiku

mwenyekiti wa mtaa huo amesema mamba wameanza muda mrefu kusumbua na wamesha toa taarifa kwenye vyombo husika lakini hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa ili kudhibiti tatizo hilo

wameomba serikali ya halmashauri kurekebisha bwawa hilo ili likauke maana likikauka mamba hawataweza kuishi pale tena


Post a Comment

Previous Post Next Post