Wanasayansi nchini marekani wamegundua pete inayo wekwa ukeni ili kuzuia maambukizi ya HIV
Pete hiyo imegundulika na inatarajiwa kufanyiwa majaribio nchi za afrika ili kujikinga na maambukizi ya HIV ili kupambana na ugonjwa wa ukimwi
pete hiyi itakuwa inakaa ukeni na kubadirishwa kila mwisho wa mwezi ili kuzuia uchafu utakao jitokeza
matokeo kamili hayajapatikana lakini wanaamini itasaidia kupambana kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi
Tags
health