Watu watatu wa familia moja wafariki ajarini mkoani Iringa wakielekea msibani mkoani Ruvuma
watu hao watatu ni baba,mama na mfanyakazi walikuwa wakisafiri na gari aina ya Rav4 ambayo iligongana uso kwauso.na gari aina ya mistubishi mkoani Iringa
familia hiyo ilikuwa inaelekea kwenye msiba mkoani Ruvuma wamepata ajari iringa wakitokea dar es salaam
mkuu wa polisi wa mkoa iringa asibitisha kutokea kwa tukio hilo
Tags
Kitaifa