Mwanaume mmoja aliye fahamika kwa jina la Mwesigwa Mberwa miaka 23 amekutwa amefariki ndani ya nyumba ya kulala wageni
tukio hilo limetokea katika mkoa wa pwani katika nyumba ya wageni ijulikanayo kama.MSUKUMA
katika tukio hilo muhudumu ndyo alikuwa wakwanza kugundua baada ya mteja huyo kuchukua chumba tangu julai 19 lakini hakuonekana kutoka nje
ndipo akatoa taarifa polisi ambapo walivunja mlango na hatimae kuukuta mwili wa marehemu ndani huku ukiwa hauna jeraha lolote
mwili huo umechukuliwa na kuifadhiwa hospitali ya mkoa pwani ili taratibu zingine zifuate
Tags
Kitaifa