
Madiwani 18 wa kata tofauti mjini dar es salaam wamkataa lipumba wakisema wao hawa mtambui kwakuwa alijiuzuru
madiwani hao 18 kati ya 21 wamesema hawamtambui.lipumba ambae wakati wa kampeni aliwakimbia alafu saivi anakuja tena
madiwani hao wakiongea mbele ya wana habari wakiwakilishwa na diwani wa kiwalani ambae ni naibu meya wa dar es salaam wametoa kauli yao kuwa hawamtambui lipumba ambae alisha tangaza kujiuzulu
madiwani hao wameungana na wabunge wengine 40 wa CUF ambao waliisha mkataa Lipumba kutokana na usaliti wake
lakini ofisi ya msajili wa vyama vya siasa wanamtambua lipumba ingawa alijoa katika nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho ambapo lipumba anaungwa mkonona wabunge wawili tuu kutoka CUF
Tags
Kitaifa