MWANAMKE AKUTWA AMEFARIKI KIFO CHA KUTATANISHA WILAYANI KIBAHA



Mkazi wa Mharani wilayani Kibaha Mariam Omary miaka 31 amekutwa amefariki nje ya nyumba yake

mwanamke huyo amekutwa amefariki nje ya nyumba yake huku akiwa amevuja damu nyungi na kupatwa na majeraha usoni

kamanda wa polisi pwani amesema chanzo cha kufanyika kwa mauaji ya huyo mwanamke hakija julikana na polisi wanamtafuta msababishaji

mwanamke huyo amekutwa amefariki mita 40 kutoka nyumbani kwake  ambako anaishi


Post a Comment

Previous Post Next Post