
Mkoani Mbeya mama mmoja amwagiwa tindikali yeye na watoto wake wawili
mwanamke aliye fahamika kwa jina la Vumilia shamega miaka.31 amemwagiwa tindi kali yeye na watoto wake wawili ambae ni Lovness john miaka 11 na Nancy peter miaka 5 wakati wakitoka dukani jioni
tukio hilo limedaiwa kufanywa na mama aliye tambulika kwa jina la Emmy kyando miaka 40 kwa kile kilichoitwa wivu wa mapenzi
mwanamke huyo ni mke mwenza na aliye jeruiwa alimvizia akitoka dukani na kumwagia tindi kali yeye na watoto wake
mpaka sasa polisi wanamtafuta mtuhumiwa wakisaidiana na muume wao
Tags
Kitaifa