Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Shaaban dede afariki duni leo hii
mwanamuziki huyo alikuwa akiugua kwa muda mrefu na kulazwa muhimbiki amefariki mapema leo.hospitalini muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu
taarifa zaidi za mazishi tunangoja kutoka kwa wanafamilia wake

Tags
Kitaifa