JAY Z ASIBITISHA KUWA MAMA YAKE NI MPENZI WA JINSIA MOJA

Rapa mkubwa nchini marekani JAY Z.asibitisha kuwa mama yake mzazi ni mpenzi wa jinsia moja

hayo yamesemwa kwenye nyimbo yake mpya akimtaka mama yake awe huru asijifiche kuhusu kushiliki mapenzi ya jinsia moja (lesbian)

lakini hakumtaja ni mwanamke gani hushilikiana na mama yake pia JAY Z alisema ni kitambo anafahamu ila hakutaka kuweka wazi kuhudu hili swala ambalo leo ameliongea

kwa kawaida katika jamii yetu nivigumu mtoto kuunga mkono haina hii ya mahusiano yakifanywa na mama tena mzazi lakini haikuwa ngumu kwa JAY Z kufanya hivyo

Post a Comment

Previous Post Next Post