MWANAMKE MWENYE NDEVU NDEFU ZAIDI DUNIANI

Rekodi ya mwanamke mwenue nfevu ndefu zaidi duniani inashililiwa na mwanamke wa miaka 24 kutoka uingereza

mwanamke huyu pichani ana ndevu zenye urefu wa inch 6  na amewazidi mpaka wanaume wengi uingereza

mwanamke huyo anasema aliamua kufuga ndevu hizo baada ya kujaribu kuzinyoa bila mafanikio ndipo akaamua kuzikubari na kuzifuga

amesema alisha kumbana na changamoto nyingi ikiwemo kuchekwa na wasichana wenzake na hata wanaume alipokuwa akitembea

amesema lakini sasa hauzuniki tena kwakuwa ameikubari hali yake na anafurai kuwa ivyo

hivi karibuni idadi ya wenye ndevu ambao ni wanawake imeongezeka ambapo india nako kuna mwanamke pia anandevu kumkaria huyu


Post a Comment

Previous Post Next Post