
Nchi ya Ghana yapiga atua kubwa katika tekenolojia baada ya kurusha satelite yake ya kwanza kwenye anga za mbali
satelite hiyo imerushwa nchini Ghana na kwenda angani kwaajili ya kuchora ramani na kufanya uchunguzi
uundwaji wa hiyo satelite umefanywa nchini Ghana na wanafunzi pamoja na waandisi ambao idadi yao imefika 400
wakati wa urushwaji kulikuwa na furaha kubwa kwakuwa wanefanya jambo kubwa katika tekenolojia ya anga za mbali kama zifanyavyo nchi zingine dunian
Tags
Technology