Polisi mkoani tabora yawashikilia watu watatu baada ya kusababisha kifo cha Mahona pondamali
kabla mke wa marehemu alienda kutoa taarifa polisi kuwa mumewake hajulikani alipo na amepotea katika mazingira ya kutatanisha
polisi baada ya uchunguzi wakaja kubaini kuwa hakupotea bali aliuawa
polisi ilisema marehemu alikuwa na tabiaya kupiga mke na mtoto mara anspo rudi kutoka kwenye pombe nfipo.waliamua kumtafuta mtu ampige ili amwadabishe
ndipo walimtafuta mtu ambae alimpiga marehemu bahati mbaya kipindi anampiga akafariki.Baada ya kujua wameuawa wakambeba na kwenda kumtupa kwenye shimo ambako wanachana mbao ili kuficha ushahidi
polisi imewataja watumiwa kuwa ni mke wa marehemu Tatu saidi,mtoto wa marehemu Katambi mahona na mtu aliye kodiwa Mwanza mbaruka
pia polisi wanamshikilia ng'ombe ambae alikuwa kama ujira wa kufanya kazi hiyo pia watuhumiwa watapanfishwa mahakamani uchunguzi ukikamilika

Tags
Kitaifa