
Mkoani pwani mtu mmoja anasadikika kuuawa kwa kupigwa risasi katika kijiji cha Ruarui wilayani kibiti mkoani pwani
mtu huyo alatambuliwa kwa jina la Ramadhani mzurui ambae ameuawa kwakupigwa risasi huku wakimjerui mke wake
mganga wa hospital kibiti asibitisha kupokea mgonjwa wa kike aliye jeruhiwa na risasi hospitalini hapo
polisi bado inaendelea na uchunguzi kubaini ukweli na undani wa tukio hilo ambalo ni mwendelezo wa mauaji mkoani pwani
Tags
Kitaifa