
Nchini japani kuna kisiwa ambacho wanawake hawaruhusiwi kufika
kisiwa hicho kinaitwa Okinoshima ni kisiwa cha kale ambacho kimetambuliwa kama ni moja ya urithi wa dunia
katika kisiwa hicho kuna masharti ikiwemo kuto sema utakacho kiona na pia wanawake hawaruhusiwi kwenda huko
kisiwa hicho kina madhabau yaliyojengwa karne ya 17 ambapo kwa mgeni ni lazima uvue nguo zote na ufanyiwe ibada maarumu ili utakaswe ndipo ufanye mambo mengine
kisiwa hicho hutumika kwa misa na matambiko ya kumwabudu mungu wa baharini ambae baadhi ya wajapani humwamini
Tags
Entertaiment