Reo bungeni walitambulishwa vijana watatu ambao wameshinda tuzo ya Genius olympaid nchini marekani
watoto hao ambao ni wanafunzi wa shule ya wavulana ya feza ya jijini dar es salaam walikuja bungeni wakiwa na walimu wao wawili
wanafunzi hao wamemukuwa washindi wa tuzo hiyo iliyo husisha wanafunzi wa sekondari kutoka maeneo tofauti tofauti
baada ya kuwasili nchini vijana hao walipokelewa na wazazi na jamaa zao kabla ya lei kuitwa bungeni
wanafunzi hao walikuja bungeni kwa mwaliko kutoka kwa waziri wa elimu pr.Joyce ndalichako baada ya kuipeperusha vizuli tanzania nchini marekani
akiwataja mh spika job ndugai aliwataja kuwa ni Abdala rubey, Abdulazack nkamia ambae baba yake ni mbunge na Khalfan jakaya kikwete mtoto wa rais mstaafu jakaya kikwete
Tags
Kitaifa