JPM ASIFIA WATANZANIA WALIVYO JITOKEZA KULIPIA MAJENGO

Rais amesema amefuraishwa saana na jinsi watanzania walivyo jitokeza kulipa kodi za majengo yao

rais amesema haijawai kutokea mwamko wa ulipaji kodi kama huu nchini na hii inaonesha jinsi gani watanzania wameipokea elimu ya ulipaji kodi

raisi pia amesema kama watanzania wote wataripa kodi kama hivi nchi yetu itaweza kufikia azma ya kujitegemea

pia amesema ni vizuri kuona watanzania wanakuwa wazarendo katika kuripa kodi kama hivi maana kwa miaka ya nyuma watu walikuwa wagumu kulipa kodi

kufuatia misululu mikubwa katika ofisi za TRA nchini ambapo watu wamejitokeza kulipia majengo yao TRA imeamua kusogeza muda mbele ambapo muda wa awali ulikuwa mwisho jana lakina bado idadi ni kubwa kote nchini

raisi alisisitiza kuwa ulipaji kodi utaisaidia serikali kutoa huduma bora kwa wananchi na siyo kwa kutegemea pesa za wahisani ambao skuizi wamepunguza utoaji wao


Post a Comment

Previous Post Next Post