MTOTO AFARIKI BAADA YA KULA MIHOGO YENYE SUMU



Mtoto mmoja afariki na wengine kunusurika baada ya kula mihigo yenye sumu

tukio hili limetokea katika kitongoji cha Masigati wilayani manyoni mkoani singida ambapo mtoto mmoja alifariki wakati akipelekwa hospitali

mganga wa hospitali ya manyoni amesibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema mtoto huyo amefariki baada yakula mihogo ambayo ilikuwa na sumu ndani yake

baba wa mtoto amesema aligundua kupitia mtoto aliye fariki baada ya kumwona akiwa na mabadiriko ndipo wakaamua kumpeleka hospitali lakini bahati mbaya akafia njiani

mbunge wa manyoni alifika kuwajulia hali watoto hao huku akiwaasa wananchi na wazazi hasa maeneo ya vijijina kuwa makini na vyakura


Post a Comment

Previous Post Next Post