JUSTIN BEIBER APIGWA MARUFUKU KUINGIA CHINA



Mwanamuziki kutoka nchini marekani justin biber apigwa marufuku kupiga show nchini uchina

hatua hii imetangazwa na serikali ya nchi hiyi kwakuwa msaanii huyo ni mwenye fujo kila mara hivyo hawa mruhusu kuja kufanya show nchini china

biber alishawai fika china na kufanya onesho ambapo baadae alionekana kwenye madhabau nchini humo akijichukua video hatua iliyo wakera wachina na kuamua kuwa asije tena

msanii huyo saivi yupo kwenye tour nchi za ASIA lakini hata fika china kwakuwa amesha pigwa marufuku kutokana na utovu wake wa nidhamu


Post a Comment

Previous Post Next Post