Mtangazaji wa azam tv aliye semekana kapotea katika hali ya kutatanisha apatikana akiwa hai
mtangazaji huyo Fatma ramal amepatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa saa zaidi ya 48 huku ambapo mmoja wa ndugu zake.amesibitisha kupatikana kwa mtangazaji huyo
kupitia mtandao wa twiter ndugu huyo alisema anashukuru kwa wale woote waliosaidia kupatikana kwa ndugu yake huyo
habari za kupotea kwa mtangazaji huyo kuliweka watu wengi njia panda huku wakiwa hawaelewi kisa ni nini cha kutoweka kwake ambapo baada ya kupatikana alipelekwa polisi ili aweze kutolea maelezo
Tags
Kitaifa