UVCCM kupitia shaka hamdu wamewajibu wazee wa.CHADEMA ambao walimjia juu mzee mwinyi kufuatia kauli yake
Mzee mwinyi alisema isingekuwa katiba raisi magufuli alitakiwa kuongoza tanzania maisha kauli ambayo wazee wa chadema hawakunvutiwa nayo
wazee wa chadema walisema kauli hii ni mbaya na hatari kwa kuwa inaweza kumpa kiburi raisi cha kuweza kubadiri katiba kwakuwa viongozi wengi nchi jirani walianza kama hivi
UVCCM wamesema kauli ya mwinyi haikuwa mbaya kwakuwa kauli hii kila mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuvutiwa nayo na haina ubaya wowote kwakuwa raisi magufuli anafanya kazi nzuli ambayo kila mtanzania anafuraishwa nayo
Tags
Kitaifa