MERI YA CHINA YA KUBEBEA NDEGE YAWASILI HONG KONG

Kitambo hakukuwa na mahusiano mazuri kati ya china na Hong kong kutokana na mzozo wa kidipromasia

lakini juzi rais wa China aliwasili.hong kong kwa ziara ya kiserikali hatua iliyo rudisha mahusiano ya pande hizo mbili

raisi wa china kawasili hong kong imiwa ni miaka 20 tangu uingereza kuondoka kutoka katika visiwa hivyo walivyokuwa wana vishikilia kama sehemu yao.

baada ya kuwa shwari kidipromasia hatimae leo meri kubwa ya kubebea ndege za kivita za china imetia nanga hong kong atua inayoonesha kurudisha uhusiano uliokufa

kitambo hong kong ilikuwa ikitaka kuwa sehemu binafsi huku chini ilikuwa ikidai kuitambua kama sehemu yake kitu kilicho leta msuguano mkubwa

Post a Comment

Previous Post Next Post