Baada ya hakimu wa kwanza kujitoa kusikiliza kesu ya mbunge wa Arusha mjini Godbless lema sasa hakimu mwingine ajitoa
Hakimu aliye jitoa sasa ni Ptricia kisinda ambae amejitoa baada ya upande wa jamhuri kusema hauna imani nae kwakuwa ni rafiki wa mke wa Lema
hakimu huyo amechukuwa hatya ya kujitoa baada ya jamhuri kurokuwa na imani nae hivyo yeye akaoba haina jinsi itabidi awaachie wengine
hakimu huyo amejitoa kwenye kesi inayo mkabili mbunge huyo w Arusha mjini ya uchochezi dhidi ya raisi
wakiki wa mtuhumiwa ambae ni Lema aliomba kesi ihairishwe kwa kuwa mteja wake hakuwepo kwakuwa alikuwa ni nimgonjwa

Tags
Kitaifa