RAISI WA TIMU AJIUZURU BAADA YA KUTISHIWA KUUAWA NA MASHABIKI

Raisi wa timu ya ligi daraja la pili nchini blazili iitwayo Paysandu sport.amejiuzuru baada ya kutishiwa uhai na mashabiki wa timu hiyo kwa kipindi kilefu

raisi huyo aliandika kwenye mitandao ya kijamii taarifa yake ya kujiuzuru baada ya kupokea vitisho vya mashabiki waliomwambia kama timu yao itashuka daraja watamuua na hawatakubari kumwacha akiwa hai kwakuwa amekuwa haitendei haki timu hiyo ya kadkazini mwa brazil

raisi huyo ananaitwa Sergio.serra amesema huwa anatishwa yeye na familia yake kika mara baada ya timu hiyo kufanya vibaya katika ligi Alisema majuzi kuna mtu alimfuata akiwa ameficha sura yake alimtishia yeye na mke wake wakiwa lwenye mapumzimo

kwahatua hiyo yeye ameamua kujiuzuru na nafasi hiyo ichukuliwe na mwingine yeye ameshindwa

Post a Comment

Previous Post Next Post