MCHUNGAJI ABAKWA SIKU YA NDOA YAKE



Muinjilisti Terry Apudo pichani alibakwa siku ya ndoa yake nchini kenya

mwanamke huyo ambae ni muumini wa dini ya kirokole nchini kenya alikumbwa na mkasa mkubwa wa kubakwa siku moja kabla ya ndoa yake

taarifa zilienea kuwa amepotea lakini kumbe alitekwa na kubakwa na watu wabaya

alikuwa akitoka kanisani ghafla wakaja wanaume wawili na kumbana kisha kumwingiza ndani ya gari na kutokomea nae

alipofika huko walimwambia wafanye mapenzi vinginevyo watamuua ndipo wakambaka kwa zamu na kisha kumbeba na kwenda kumtupa nje ya mji wa Nairobi

baada ya muda akapata msaada kutoka kwa wasamalia wema na kumpeleka hospitali huku akiwa amechelewa kwenye ndoa yake ambayo ilikuwa na wageni wengi


Post a Comment

Previous Post Next Post