
Waandaaji wa pambano la ndondi kati ya Mywether na Mcgregor wametangaza kiingilio cha pambano hilo kuwa ni kiasi cha dolla 150000 sawa na milioni 300 za kitanzania
mpambano huo utakao pigwa ndani ya uwanja wa T-mobile mjini Las vegas nchini marekani Agost 26
kwa mujibu wa taarifa mpaka sasa tiketi zimesha uzwa nyingi kama vile njugu japokuwa bei yake ni kubwa
mywether alitangaza kustaafu ndondi lakini ameamua kurudi tena kupambana akijiamini atashinda kama ilivyo kawaida yake
Tags
Michezo