WABUNGE WALIO FUKUZWA CUF WAMSHITAKI LIPUMBA



Baada ya lipumba kutangaza kuwafutia uanachama wabunge nane wa viti maalum wa CUF hatimae wabunge hao wamefungua kesi mahakamani

wabunge hao nane ni wa viti maalumu wafungua kesi iliyopewa namba 142/2017 huku wakisimamiwa na wakili Peter kibatala

wabunge hao wanapinga kufukuzwa uanachama na pia wanapinga kusimamishwa nafasi ya ubunge ambapo mpaka sasa wabunge wengine wameteuliwa kuchukua nafasi zao


Post a Comment

Previous Post Next Post