Marekani kupitia barozi wake pichani imehaidi kutumia nguvu zidi ya korea baada ya korea kufanya jaribio jingine la kombora la masafa marefu
marekani yasema kufuatia korea kufanya jaribio lake inaziilisha wazi kuwa hayupo tayari kwa mazungumzo kuhusu kuleta amani hivyo itabidi kumkabili
juzi korea walifanya jaribio la kombora la masafa marefu lenye uwezo wa kufika nchini marekani lakini waliliongiza kupiga baharini
kabla kulikuwa na makubariano kuhusu korea kuacha majaribio yake ya makombora lakini amekuwa akikaidi mara kwa mara makubaliano
urusi na uchina wamesema hawata unga mkono hatua zozote za kutumia nguvu dhidi ya korea na badara yake wanataka mzozo uishe kwa majadiliano

Tags
Kimataifa