ASKARI WA JWTZ HATIANI KWA MAUAJI

Askari wa jeshi la wananchi wa tanzania Marwa wambula miaka 25 apandishwa mahakamani kwa hakimu mkazi kinondoni kwa kosa la kusababisha mauji

mtuhumiwa alitenda kosa la kumuua Rashid kishinde askari huyo wa kikosi namba 83 kilichopo kilivya

mtuhumiwa alifanya mauaji hayo jini 17.2017 maeneo ya kibamba ccm alimuua marehemu huku akijua kuwa ni kosa kisheria kwa sheria za tanzania

baada ya kusomewa mashtaka hakimu alisema mtuhumiwa atakiwi kujibu chochote kwakuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo

hakimu alisema kesi hiyo inatakiwa kusikilizwa katika mahakama kuu na akahailisha kesi hiyo mpaka julai 18


Post a Comment

Previous Post Next Post