
Katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja ambae jina halija fahamika ameanguka na ungo akiwa mtupu karibu na uwanja wa ndege dar
mama huyo alikuwa kwenye ungo ghafla akaanguka barabarani kalibu na uwanja wa ndege mjini dar es salaam
baada ya kuanguka akiwa mtupu kama alivyo zaliwa mama huyo alienda kujificha ili watu wasimuone kwakuwa alikuwa mtupu
baada ya kuona watu alichukuwa mkoba aliokuwa nao na kutoa gauni na kulivaa ambalo lilikuwa kwenye mkoba ambao aliuangusha yeye mwenyewe
baada ya tukio hilo polisi walikuja kumwokoa maana raia walitaka kumpiga wakimtuhumu kwa ushilikina
mpaks sasa haija fahamika mama huyo alikumbwa na nini na alikuwa anakwenda wapi pia ni kichaa au mchawi kweli
Tags
Entertaiment