
Kufuatia kuhairishwa maojiano hatimae lowasa awasili tena polisi leo hii kuojiwa
lowasa alitakiwa kuja kwa DCI leo alhamisi baada ya wiki iliyopita kuto fanyika mahojiano yoyote
lowasa amewasili akiwa na mke wake Regina lowasa pamoja na mwanasheria wake ambae ni pita kibatala
lowasa anatuhumiwa kutoa lugha ya uchochezi baada ya siki ya futari aliyo iandaa kuitaka serikali iwaachie masheh wa uamsho akisema hawana makosa
mashehe hao wanashikiliwa kwa muda wa miaka mitatu sasa huku wakiwa hawaja hukumiwa mpaka sasa katika kesi yao
Tags
Kitaifa