MAMA WA ZARI MKE WA DIAMOND AFARIKI DUNIA



Kupitia ukurasa wake wa instagram mpenzi wa diamond zari amesibitisha kutokea kwa kifo cha mama yake mzazi

mama huyo aliugua figo na moyo ambapo baada ya kuzidiwa alipelekwa hospital ambako alikaa kwa siku kadhaa na hatimae amefariki dunia

pia inasemekana alianguka akiwa nyumbani kwao nchini uganda kabla ya kupelekwa hospital ambako mauti yamemkuta


msiba huu umekuja siku chache baada ya zari kumpoteza aliyekuwa mume wake Ivan semunga ambae nae alifariki kwa kuugua ugonjwa wa moyo.


Post a Comment

Previous Post Next Post