Rais john pombe magufuli amesema tanzania tulichezewa saana kwa miaka mingi sasa inatosha kwa sasa
Raisi aliyasema haya wakati akifungua maonesho ya Sabasaba ambayo yamefunguliwa rasmi leo
JPM alisema kwa miaka mingi watu walikuwa wanafanya watakavyo wao kwa maslahi yao sasa tumeamua kuweka kilakitu sawa kwa kuwa tumechezewa saana na watu wenye nia mbaya na taifa hili
pia raisi amewataka wafanya biashara walio husika katika maonrmesho hayo ya sabasaba kuwekeza nchini kwa kuwa kuna sehemu nyingi za uwekezaji ambazo wamaweza kuwekeza
kauli ya raisi ya kuhusu kuchezewa imekuja baada ya kuja kwa ripoti tofauti ikiwemo ripoti ya kuhusu mchanga wa dhahabu na usajili wa ACACIA ambayo ina tuhumiwa kufanya shughuli zao bila ya kusajiliwa nchini tanzania huku ikilipa kodi kidogo
kufuatia kugundulika kwa ACACIA raisi aliwataka walio husika katika mikataba hiyo kunyang'anywa hati zao za kusafilia akiwemo Endru chenge
Tags
Kitaifa