AVUNJA REKODI YA DUNIA KWA KUPAMDA MLIMA KILIMANJARO KWA SAA24

Raia wa italia Niko valsesia amevunja rekodi ya dunia baada ya kupanda mlima kilimanjaro kwa muda wa saa 24 tuu

muitaliano huyo alisafiri kwa bsiskeli akitokea mkoani tanga mpaka lango kuu la kupandia mlima kilimanjaro  na kisha kutembea mpaka mwisho

mzungu huyo alipanda mpaka juu kabisa katika kilele cha mlima kilmanjaro umbali wa kilomita 5895 kutoka usawa wa bahari

pia alitumia muda wa masaa kumi na nne tu kushuka katika mlima huo ambao ndiyo mlima mrefu zaidi bara afrika

kwa kawaida mara nyingi huwa chukuwa watu siku mbili kumaliza kupanda mlima huo lakina jamaa huyu alitumia masaa 24 tuu kiasi cha kuvunja rekodi ya dunia

yeye mwenyewe amesema anafurai saana kuvunja rekodi hiyo na ilikuwa ni ndoti yake ya muda mrefu kufanya kitu kama hiki katika maisha yakr ya kila siku

katika kuvunja rekodi huko muitaliano huyo aliambatana na baadhi ya watu wa msaada wakiwemo pia mpiga picha ambae alitangulia kabla yake kwaajili ya kuchukuwa matukio


Post a Comment

Previous Post Next Post