LUKAKU AFANANISHWA NA DROGBA



Mchezaji mpya wa manchester united Romelu lukaku aanza kufananishwa na drogba kutokana na uchezaji wake

baadhi ya mashabiki wameanza kumfananisha na drogba jinsi ambavyo anajua kuzitumia vizuri nguvu zake akiwa uwanjani

Rukaku mwenyewe anasema alikuwa anamkubari sana Drogba kutokana na uchezaji wake akiwa chelsea na alitamani saana kuwa kama drogba uwanjani

lukaku ambae amejiunga na man united amesema amefurai kuwa karibu tena na morinho na anahisi amerudi tena nyumbani kwakuwa yupo pamoja na kocha wake wa zamani wa chelsea


Post a Comment

Previous Post Next Post