AMUUA MKE WAKE KISHA NAE KUJINYONGA SONGEA



Mwanaume mmoja aliye fahamika kwa jina la Siamin fulgence miaka.34 mkazi wa kijiji cha mtenje wilayani nyasa mkoani Ruvuma amuua mke wake kisha na yeye kujinyonga

tukio hilo limetikea majira ya saa tisa jana ambapo Siamin alimweka vitambaa mdomoni Asumta michael miaka 27  kisha kumbana kooni mpaka kupoteza naisha


baada ya kufanya tukio hilo Siamin ambae ni mwanaume alijinyonga umbali wa hatua kumi kutoka alipo muulia mke wake

kamanda wa polisi mkoani Ruvuma asibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema chanzo cha tukio hilo ni ugomvi wa kifamilia ulio kuwepo baina yao kwa kipindi kirefu.


Post a Comment

Previous Post Next Post