Daktari mmoja nchini brazili ajulikanae kwa jina la Marcilene gama amembae ni datkari bingwa wa kuongeza makario amekutwa amefariki
daktari huyo ambae hufanya kazi ya kurekebisha muonekano wa makario ya wanawake amekutwa amekufa huku chanzo kiki aminika ni kutokuwa na matokeo tarajiwa kwa wateja wake baada ya kuwa hudumia
daktari huyo amekutwa amefariki nje kidogo ya nyumba yake huku akiwa amefungwa mikono nyuma na usoni akiwa amejeruhiwa vibaya
mpaka sasa polisi inamshikilia mwanamke mmoja ambae alionekana akiingia kwenye nyumba ya daktari huyo kabla ajakumbwa na mahuti
wanawake wengi nchini brazil huenda kwa daktar huyo ili awabadirishe na nkuongeza ukubwa wa makario yao ila kuna walio lalamika kuwa hawakuyaona matokeo baada ya tiba hiyo
Tags
Kimataifa