
Watu watatu wahukumiwa adhabu ya kifo baada ya kumvua nguo mwanamke na kumpora jijini nairobi
wanaume watatu dereva na makondakta wawili wamehukumiwa kifo baada ya kukutwa na kosa la unyang'anyi kutumia nguvu na uzalilishaji kwa mwanamke ndani ya daladala nchini kenya
mwanamke huyo alisema watu hao walitaka kumbaka lakini aliwadanganya kuwa ana HIV ndipo wakaacha kumbaka
anasema walikuwa wanaume zaidi ya saba wote walitaka kumbaka lakini anashukuru mungu hawakufanikisha azma yao
Tags
Kimataifa