Mapema leo mwenye kiti wa CUF anae tambulika na msajiri wa vyama vya siasa Lipumba ametangaza kuwavua uanachama wabunge nane
lipumba aliwatangaza wabunge nane wa chama hicho kuwa wamevuliwa uanachama na wamevuliwa uanachama ni kutokana na utovu wa nizamu
pia alisema wabunge hao walishilikiana na chadema kutaka kuingilia majukumu ya CUF na kutaka kumwangusha madarakani
wabunge hao nane ni miongoni mwa wabunge kumi wa chama hicho walioitwa kuhojiwa kwa kosa la kushilikiana na chadema kutaka kufanya mapinfuzi dhidi yake
pia lipumba amewavua udiwani madiwani wawili kwa kuhusika kwenye njama ya kukihujumu chama hicho walishilikiana na chadema
Tags
Kitaifa