APANDISHWA KIZIMBANI BAADA YA KUMBAKA BINTI WA MIAKA.15



Mfanya biashara Said Ramadhsn miaka 22apandishwa kizimbani baada ya kumbaka binti wa miaka 15

mtuhumiwa amepandishwa kizimbani kwa tuhuma ya kumbaka binti wa miaka 15 kinyume cha sheria

mfanya biashara huyo mkazi wa kimara amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya kinondoni ambapo anatuhumiwa kufanya tukio hilo julai sita mwaka huu uku akijua kuwa ni kosa kisheria

kesi yake ime hairishwa kwakuwa uchunguzi bado unaendelea na mtuhumiwa karudishwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana


Post a Comment

Previous Post Next Post